MAN U 2-FULHAM 0
Aaron Hughes baadae akaokoa krosi iliyochongwa na Nani na ukampitia Antonio Valencia, aliyefunga kwa kichwa na kuipatia Manchester United bao la pili.
Tomasz Kuszczak mlinda mlango wa Manchester United alifanya kazi nzuri kuokoa mkwaju wa Eidur Gudjohnsen aliyeingia kipindi cha pili, huko mlinda mlango wa Fulham Mark Schwarzer naye akainyima Manchester United kwa kuokoa mkwaju wa Darron Gibson.
Kwa matokeo hayo sasa Manchester United wanazidi kuongoza kwa kujikusanyia pointi 69.BBC
No comments:
Post a Comment