Hayati Edward Moringe Sokoine 1938-1984
WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, marehemu Edward Sokoine, atakumbukwa Jumanne hii kwa ibada maalumu ya kumwombea kuadhimisha miaka 27 tangu kufariki kwake, Aprili 12, 1984. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, katika siku hii, kumeandaliwa ibada maalumu ya kumwombea Hayati Sokoine katika kanisa alilosali mara ya mwisho kabla ya kifo chake mjini Dodoma.Soma zaidi;bofya hapa
No comments:
Post a Comment