Sheikh Yahya enzi za uhai wake
Habari zilizotufikia mapema leo zinasema kuwa manajimu mkuu wa Tanzania sheikh Yahya Hussein amefariki dunia mida ya saa nne asubuhi nyumbani kwake magomeni mwembe chai Dar-es-salaam. Chanzo cha habari kimesema mzee Yahya alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa mda mrefu hadi umauti wake.Mipango ya mzishi inafanyika nyumbani kwake na huenda akazikwa hapo kesho.
Blog hii inatoka pole kwa wafiwa na pia watanzania kwa msiba huu mkubwa..
2 comments:
Pumzika kwa amani: Amina!!
His long-awaited death marks the end of credulous life and superstitius leadership this country brags to have had.
Post a Comment