To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 13 May 2011

Kumradhi ndugu wadau!!



Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi ndugu wadau kwa kwikwi iliyojitokeza kwa mda tangu jana na leo. Nimepokea emails zenu na hata simu kutaka kujua kulikoni.Kwikwi hiyo ilitokana na matengenezo ya kawaida kwa host wetu ambayo yalilenga kuboresha zaidi huduma yetu.Kwasasa hali imerudi kama zamani hivyo tuendelee na kublog kwa raha zetu.
ndimi bloger wenu Raymond

No comments: