Huyo Mheshimiwa kweli ni "Magufuli" au ni "Mafuriko"?Mbona anakwenda kama mtetemeko wa ardhi ndani ya Bahari ya Hindi?Anakuwa kama TSUNAMI, Bwana!!!Nimependa pale alipoapa na kusema: [KAMA HUYU KANDARASI HAMALIZI KAZI ZAKE KWA WAKATI SAWA BASI HAPATI TENA KAZI ZA KUJENGA BARABARA TANZANIA].Afrika inahitaji sana wengi viongozi kama hao Mafuriko...kumradhi, akina Mheshimiwa Magufuli!Kama vile ningemuazima siku moja tu aje Afrika Kusini kumsadia Mzee Zuma!
Post a Comment
1 comment:
Huyo Mheshimiwa kweli ni "Magufuli" au ni "Mafuriko"?
Mbona anakwenda kama mtetemeko wa ardhi ndani ya Bahari ya Hindi?
Anakuwa kama TSUNAMI, Bwana!!!
Nimependa pale alipoapa na kusema: [KAMA HUYU KANDARASI HAMALIZI KAZI ZAKE KWA WAKATI SAWA BASI HAPATI TENA KAZI ZA KUJENGA BARABARA TANZANIA].
Afrika inahitaji sana wengi viongozi kama hao Mafuriko...kumradhi, akina Mheshimiwa Magufuli!
Kama vile ningemuazima siku moja tu aje Afrika Kusini kumsadia Mzee Zuma!
Post a Comment