Timu ya Manchester United maarufu kama Red Devils leo wameifunga timu pinzani ya Chelsea magori mawili kwa moja,ushindi huo sasa unawafanya Man Utd kuhitaji point moja tu ili kuwa mabingwa wapya wa premier league ubingwa ambao ulichukuliwa na Chelsea msimu uliopita. Hebu pata habari na picha zaidi kwa; kubonya hapa
No comments:
Post a Comment