BOMOA BOMOA JIJINI MBEYA KUPISHA UJENZI SOKO LA KISASA...
Baadhi ya taswira zinazo onyesha operation bomoa inayoendelea jijini mbeya ili kupisha ujenzi wa soko jipya na kisasa eneo la uhindini. Tunapenda kuipongeza serikali kwa uamuzi huo wa busara na wa kimaendeleo.....
2 comments:
Ondoa maenedeleo ya mtu kwa maendeleo ya watu...inafaa sasa miji kuwa na ramanii za kudumu, ili watu waelewe wapi wajenge na wapi wasijenge
Ni kweli kabisa ndugu mdau....tubahitaji sana mabadiliko kwenye jiji letu la mbeya.....nawapongeza viongozi kwa uamuzi huo wa busara..
Post a Comment