To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday, 15 June 2011

HAPPY BIRTHDAY KOMANDOO,BINTI MACHOZI!!

Its My Birthday today 15 June
Ni siku yangu ya kuzaliwa, najivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yangu Martha Mbibo kunihifadhi tumboni, kunileta duniani kunilea na kunifunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo nipo hapa nilipo kwaajili ya busara zake. Nampendaga sana Mama

Hayo ni maneno ya dada Jide katika kurahia kutimiza miaka kadhaa siku ya leo,nasi wanablog ya maisha kwa pamoja tunaungana na wadau wengine popote pale walipo nje na ndani ya Tanzania kumpongeza Komandoo wetu....HAppy birthday to you....
Msikilize hapa na kibao chake cha Teja.....
2 comments:

Goodman Manyanya Phiri said...

When you were born, a place in the sun was assured you. Sometimes in your life in the future, others will make you feel you are nothing. But that is exactly the time, and probably the only time, when you must strongly claim you place; kick some butt if need be, Commando! Happy Birthday, Girl!

SIMON KITURURU said...

namuhusudu sana Mdada huyu! Happy Bithday Lady!