To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 22 July 2011

HAPPY BIRTHDAY MDAU PETER!!!

Mdau wetu kutoka jijini Mbeya Tanzania bwana
Peter Mwambulupulu leo anapenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kumwezesha kuifika siku yake ya kuzaliwa na hivyokuongeza idadi ya miaka yake akiwa angali hai..
Anapenda kuwashukuru wazazi,ndugu jamaa na marafiki ambao wamekuwa upande wake ktk hali na mali hadi kufikia hapo alipo sasa..
Zaidi ya yote anapenda kuwashukuru wafanya kazi wenzake wa NBC Tukuyu branch kwa kumuunga mkono ktk
siku yake hii na kuifanya kuwa more special....
Nami pamoja na timu nzima ya blog hii tunampongeza kwa siku yake hii kubwa na kumtakia kila la kheri na mafanikio mema kwenye shughuli zake za kila siku.
HAPPY BIRTHDAY KAKA PETER..

No comments: