To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Saturday, 23 July 2011

WAHITIMU WA UNIVERSITY OF WALES WAJIPONGEZA JIJINI LONDON KWA MNUSO WAKUKATA NA SHOKA BAADA YA KUFANYA WONDERS..

Kabla ya kazi rasmi kuanza hapo nilikuwa nikipata taswira za ukumbusho
 Tukiwa na nyuso za furaha wadau na wahitimu kutoka university of wales tukijiachia kwa raha zetu kabla ya sherehe kuanza.


 Hapa nikiwa na wadau kutoka nchi mbalimbali kwa pamoja tukifurahia mafanikio yetu
 Sherehe haikamiliki bila ya misosi,hapo wadau wakijiachia kwa misosi kwani ilikuwepo ya kumwaga
 Huyu ndiye aliyekuwa kinara wakati wa mapambano yetu Mr Anand Walser course Adiminstrator,hapo alikuwa akitoa statistics za jumla na pia kutupa wosia vijana wake.
 One loveeeeeeeee.........
Picha ya pamoja baadhi ya wadau tuliohudhulia mnuso wa kujipongeza kwa mafanikio makubwa tuliyoyapata...
Kwa niaba ya wenzangu wote naomba kuchukua nafasi hii kuwashukuru walimu wetu pamoja na wafanyakazi wote wa London School of Commerce pamoja na University of Wales instituty of cardif kwa kazi yao nzuri na pia kujitoa kutusaidia hadi hapa tulipofika,,,Mungu na awabariki sana na kuwatia nguvu zaidi..

No comments: