To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 19 August 2011

Mambo Sio Mabaya ndani ya Mji wa Tottenham


Salam
URBAN PULSE CREATIVE wakishirikiana na Freddy Macha walipata fursa ya kupitia mji wa Tottenham uliopo katika jiji la london ili kujionea kwa macho hali ilivyo kwa sasa. Program hii imerekodiwa kwa kutumia Simu ya mkononi,
Asanteni.
URBAN PULSE CREATIVE
Kushoto ni Fredy Macha na Frank wa Urban pulse

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Haya kweli mambo si mabaya!!