To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Tuesday 16 August 2011

MZEE RAZA PARTY 2

GLlobal Fusion Music & Arts Inakuletea Maonyesho ya Picha kutoka kwa msanii Maarufu kutoka Tanzania Mzee Raza pamoja na Mwanae yaliyofanyika Charlton House Hapa London.
Hi ni sehemu ya Pili katika kipindi chetu cha msanii wa kimataifa mzee Raza kutoka Tanzania wakati alipofanya maonyesho ya picha zake akiungana na mwanae Eddy Raza hapa Uingereza yaliyofanyika katika ukumbi wa Charlton House, London hivi karibuni na kutayarishwa na Global Fusion Music and Arts.
Mgeni Rasmi Alikuwa Naibu Balozi wa Tanzania Chabaka Kilumanaga.

Asanteni,

URBAN PULSE CREATIVE

No comments: