To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Thursday 4 August 2011


MAONYESHO YA KILIMO NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAFUNGULIWA

Naibu Waziri wa Kilimo chakula na ushirika Mhe Eng  Christopher Chiza akikabidhi mkasi mara  tu baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa maonnyesho ya kilimo nane nane nyanda za juu kusini mjini Mbeya
Naibu waziri wa kilimo chakula na ushirika akihutubia wananchi waliohudhuria sherehe hizo za ufunguzi wa nane nane jijini mbeya
Viongozi wengine wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi
Wanafunzi wa shule mbali mbali nao walikuwepo kwenye ufunguzi huo
EXIM BANK nao hawakuwa mbali na wakulima kuwapa tia huduma ya kujiunga na banki hiyo uwajani hapo
Moja ya watumishi wa benki kuu ya Tanzania akitoa maelekezo kwa mkulima alietembelea banda la BOT
wauzaji wa vifaa vya computer wakiwa tayari kuwahudumia wateja wao
TTCL nao hawapo nyuma katika kutoa huduma uwanjani hapo
kweli furahia nane nane.
HAbari na picha kwa hisani ya mbeyayetu blog

No comments: