To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Saturday, 6 August 2011

UJENZI WA SOKO LA MWANJELWA JIJINI MBEYA WAANZA KUSUASUA...


 Taswira ya hivi karibuni inayoonyesha upande wa mbele wa soko kuu la mwanjelwa la jijini mbeya

Taswira nyingine pia zinaonyesha pande nyingine za soko hilo la mwanjelwa ambalo ujenzi wake ulianza kwa kasi lakini hivi sasa umesimama na hivyo kuanza kuua matarajio ya walio wengi kuanza kulitumia soko hilo siku za hivi  karibuni.Kibaya zaidi soko sehehmu ya soko hilo ilibomoka siku za hivi karibuni wakati ujenzi ukiendelea na hivyo kuzua maswali kama kuna uthabiti wa makandalasi walioshika tender hiyo.tutaendelea kuwapa habari zaidi kuhusu swala hili.

 HUU NDIO UBUNIFU WA DARAJA LA JUU KWA WATEMBEA KWA MIGUU WA JIJI LA MBEYA ENEO LA MWANJELWA MIAKA MIWILI IJAYO KAMA ULIVYOBUNIWA NA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

SWALI NI JE ITAWEZEKANA? IKIWA SOKO TUU LINASUA SUA NA LIPO BARABARANI ENEO WANALO TAKA KUWEKA KIVUKO HICHO.

picha zote toka mbeya yetu blog

No comments: