To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 7 August 2011

SUPER D BOXING COACH ATOKA NA DVD MPYA...


SUPER D AACHIA DVD TATU ZA KIMATAIFA KUFUNZIA NGUMI
Na Mwandishi Wetu
Kocha maarufu wa mchezo wa ngumi nchini, Rajabu Mhamila 'SUPER D' aliyeamuakutumia njia ya DVD kuwafundisha watu mbalimbali kujua na kutambua sheria zamchezo huo ameachia kazi nyingine tatu mpya.Kazi hizo tatu zinausisha mapambano kadhjaaa ya nyota na mabingwa wa ngumiza kulipwa Duniani, ziliachiwa sokoni zaidi ya wiki moja sasa.Akizungumza na waandishi wa habari Super D, alisema tofauti na kanda yake yaawali iliyokwenda kwa SUPER D BOXING COACH, DVD za sasa zimeandaliwa kisasana zikiwa na mchanganyiko wa 'clips' za michezo ya nyota wa Dunia katikakuwafunza watu namna ya kupigana ngumi.Super D, alisema mbali na michezo ya nyota hao wa Dunia akiwemo MannyPacquio, Floyd Maywether, Roy Jones na wakali wengine DVD hizo zina michezoya tamasha lao la ngumi wanaloendesha kwa kushirikiana na kocha mkongweHabibi Kinyogoli.''katika muendelezo wa kuwafunza watu ngumi kwa njia rahisi, nimetoa dvdpamoja na CD nyingine tatu tofauti zilizokusanya michezo ya mabingwa wadunia na mafunzo ya ngumi tunayoendesha kupitia tamasha letu na KinyogoliFoundition '' alisema. Super D ambae ni kocha wa timu ya ngumi ya Ashantipamoja na timu ya mkoa wa Ilala kimichezo alisema anamini kupitia njia watuwengi wenye kupenda kujifunza mchezo wa ngumi kwa kuangalia mbinu na ufundikatika mchezo huo kupitia michezo ya mabondia waliopo kwenye dvd hizo.Aliongeza kuwa, mbali na dvd hizo bado wanaitajika vijana wenye vipajikujitokeza kuja kushiriki katika mazoezi ya ngumi ili wajiunge na wenzao watimu ya Ashanti na Amana kujifunza 'live' chini ya makocha Habibu Kinyogoli,Kondo Nassoro, na yeye mwenyewe Super D na wengine wanaowanoa vijana mbalimbali-

Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
Mob;+255787 406930
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments: