To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 7 August 2011

SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (SHIHATA) MBEYA LIPO? AU MABANGO TU NA MADUKA YA BIASHARA

Hili ni jengo la shirika la habari Tanzania miaka hiyo ya nyuma kwa sasa haeleweki mmiliki wake na nani anachukua pango la maduka hayo imekua ni kitendawili
Ofisi hakuna tena jengo lote limetwawliwa na maduka Kila kona.
Mlango unao onekana hapo umefungwa ndicho chumba cha mikutano mbali mbali
 Hivi ndivyo Jengo lilivyo choka hakuna anaejali hata kidogo na haijulikani lipo chini ya nani paka muda huu na linaendelea kuoza kadili siku zinavyo sogea.
picha na mbeya yetu blog

No comments: