To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Monday 22 August 2011

Vunja vunja ya wanajeshi zidi ya wanakijiji Kimbiji ! Polisi bado hawajaenda katika tukio

************************
msema kweli
*************

Uvamizi wa wanajeshi dhidi ya wanakijiji Kimbiji ! Polisi kigamboni wamekua BUBU!
hawajakubali kupokea malalamiko ya wanakijiji ! nani ? wa  kumfunga simba kengele?
*********
MALI NA MAKAZI YA WANAKIJIJI WAPATAO 200 Kimbiji zimeharibiwa
Uvamizi uliofanyika 16.08.2011 jumatano saa 4.00 hasubui wakazi kijiji cha Kimbiji,nje kidogo ya jiji la Dar,
wamekuwa na mashaka ya maisha baada ya makazi na mazao yao kuharibiwa
vibaya na wanajeshi (JWTZ) ambao walivamia kijiji hiko na kuvunja vunja
makazi ya raia..kinyume cha sheria.
Hata hivyo baadhi ya wanakijiji walipereka taarifa katika vya  vituo vya polisi vya Kigamboni na mji mwema,havijakubali kupokea malalamiko ya wanachi walioharibiwa mali zao na kutishiwa
usalama wao,hadi sasa inaonekana kuwa wanachi wa Kimbiji hawana wa kuwalinda wao na mali
zao,kama inavyoeleza katiba ya nchi kuwa kila raia ana haki ya kupewa ulinzi wa maisha yake
na mali zake!
Katika Sakata hili la wanajeshi (JWTZ) kuvamia makazi ya raia na kuharibu mali za raia
bado lina utata  wa nani ? kumfunga kengengele simba?

No comments: