To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 21 August 2011

ULEVI KUPINDUKIA HUSABABISHA AJALI..CHUKUA TAHADHALI

Mwana usalama barabarani akitoa plati namba ya gari lililopata ajali maeneo ya mama john jijini mbeya ajali hiyo imetokea jana usiku baada ya dereva wa gari hilo aina ya toyota corola kuzidiwa  kilevi na kukosa mwelekeo na kutumbukia katika dalaja
Mara baada ya ajali hiyo dereva alikimbia  hajulikani alipo
Huwezi amini hii gari imeingiaje hapa kwakweli madereva kuweni makini barabarani pombe ni hatari ukiona umelewa acha kuendesha gari 

Baadhi ya wananchi wakiangalia gari iliyotumbukia darajani mama john jijini mbeya..Picha kwa hisani ya Mbeya yetu blog            


     

No comments: