To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 18 September 2011

NEWS ALERT:::MOTO MWINGINE JIJINI MBEYA WATEKETEZA SOKO DOGO LA FOREST Moto wateketeza soko hilo lililopo Forest ya zamani karibu na Chuo cha Mzumbe na Chuo Kikuu huria Jijini Mbeya
 Moto ulianza majira ya saa 9:00 kamili usiku na Zimamoto walifika saa 9:10 na kufanikiwa kudhibiti moto huo ambao umeteketeza vibada kadhaa na kusababisha hasara kubwa.
Mtandao huu umefanikiwa kukuta baadhi ya masalia ya vibanda yakifuka moshi.
Mkuu wa wilaya Bwana Evans Balama asaidia kuzima Moto huo, lakini wadau wanajiuliza kunani katika masoko ya Mbeya na kwanini tahadhari hazichukuliwi.
picha zote na latestnews blog

No comments: