To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 16 September 2011

PICHA NA MATUKIO YALIYOJIRI JIJINI MBEYA HAPO JANA WAKATI SOKO KUU LIKIUNGUA NA KUTEKETEA...


Soko la mwanjelwa eneo la sido mbeya lawaka moto chanzo mapaka sasa hakijajulikana
Moto mkubwa ukiendelea kuwaka
Baadhi ya  mabanda sokono hapo tayari yameteketea kabisa na moto

Kama kawaida kikosi cha zimamoto mbeya kimeendelea na maigizo yake ya kuja kwenye tukio na gari bovu hapa wanaonekana askari wa kikosi hicho wakibishana huku moto ukiendelea 
Kufa kufaana kibaka tayari ameshaiba huyooo anatimka
Dada nae hayuko nyuma katika wizi keshachukua kapeti
Umati wa watu ukiwa unaangalia soko linavyoteketea
Mama huyu akilia kwa uchungu akiangalia duka lake likiteketea kwa moto

Hii ni hatari
PICHA ZOTE NA MBEYAYETU BLOG

No comments: