To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Friday, 23 September 2011

TASWIRA ZA AJALI MBAYA YA ROLI MJI MDOGO WA MBALIZI JIJINI MBEYA..YAUA WATATU

 Polisi wakiangalia gari aina ya roli lenye namba IT.9518, lililopata ajali baada ya kugongana na gari jingine na hivyo kupinduka na kusababisha vifo vya watu watatu watembea kwa miguu na kuvunja nyumba
 Gari lenye T.438 BRT aina ya Landovermali ya mchungaji Nduka wa kanisa la Uinjilist Mbalizi. Ambalo liligongana na Lori hilo.
  Taswira ya mbele ya Lori hilo lililosababisha hasara kumbwa.
  Mwanafunzi wa chuo kikuu cha DIT kilichopo Dar es Salaam , Marehemu Dickson Nswila, ambaye alikuwa akielekea kwenye mazoezi ya vitendo TAZARA, jijini Mbeya.

 Mfanyabiashara wa mitumba, mji mdogo wa Mbalizi Marehemu Charles Mwakanyuma.


Marehemu Mariam Side mwenye umri wa miaka 31.
Picha zote na Latest News Tz

No comments: