To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday 26 October 2011

FRANCIS MIYAYUSHO NA MBWANA MATUMLA KUZICHAPA JUMAPILI HII..

 Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitunishiana misuri mbele ya waandishi wa habari wakati wa utambulisho wao wa mpambano wa kugombea ubingwa wa UBO jumapili hii katikati ni mratibu wa mpambano huo Mohamedi Bawaziri

Mratibu wa mpambano wa ngumi Mohamedi Bawaziri  katikati akiwa na mkanda wa ubingwa utakaogombaniwa na mabondia Fadhili Majia (kushoto) na Juma Fundi siku ya jumapili.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: