To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday 26 October 2011

NAFASI ZA MASOMO AWAMU YA TATU ZATANGAZWA KATIKA BAADHI YA VYUO TANZANIA MWAKA WA MASOMO 2011/2012


Habari za Leo wadau wote na poleni sana na kazi ambazo mnazifanya kila wakati, sisi ni wazima kabisa na tunaendelea salama na kazi, Tunaomba tuendelee kuwasumbua na kuwaomba msaada wenu wadau wetu kutuwekea nafasi mpya za awamu ya tatu zilizo tangazwa kwa baadhi ya vyuo Tanzania, tunatanguliza Shukrani zetu Asanteni
NAFASI ZA MASOMO AWAMU YA TATU ZATANGAZWA KATIKA BAADHI YA VYUO TANZANIA MWAKA WA MASOMO 2011/2012
Kwanza kabisa Tunapenda kuchukuwa nafasi Hii kuwasalimu watu wote Wakubwa Shikamoo na wadogo Mambo vipi, Umoja wa Matukio na wanavyuo Tanzania (www.tzwanavyuo.blogspot.com) inayo furaha kuwaletea habari njema wale wanafunzi wote ambao walikosa nafasi za kujiunga na vyuo katika mchakato mzima wa awamu ya kwanza na awamu ya pili. Lakini sasa baadhi ya vyuo vikuu vikiwemo Teofilo Kisanji University, Stefano Moshi Memorial University College,St. Augustine University of Tanzania, Ruaha University, National Institute of Transport, Iringa University College, Institute of Finance Management, Eskerforde Tanga University, University of Dodoma na Ardhi University vimetangaza baadhi ya nafasi hizo. Nafasi zimeelezewa vema na pia mwaweza tazama wapi unataka kujiunga. Fungua sasa na ufuate maelekezo na kutuma maombi yako bila kuchelewa Tunawatakia mafanikio mema wale wote ambao wataenda kujiunga. Mwisho tunapenda kuwakumbusha kwamba ule mtandao wenu wa wanavyuo Bado unakungoja wewe ambae haujajiunga www.tzuniverisitiesconnects.tk      Pia   BOFYA HAPA KWA FUN PAGE nyote mnakaribishwa. na kama mna matukio mbali mbali ya vyuoni kwa wanavyuo wote watanzania waliopo nje na Ndani ya Tanzania na Watumishi wa vyuo kama mna matangazo ama matukio mnataka kuyaposti pia  tutumieni kupitia twanavyuo@live.com 
Kutazama nafasi mpya za masomo bofya hapa: www.tzwanavyuo.blogspot.com
Kwa niaba ya Wenzetu ni sisi,
Matukio na wanavyuo Crew

No comments: