Vitanda vilivyokuwa vikitumiwa na wangonjwa katika Zahanati ya Ipinda, iliyopo  Mwanjelwa jijini Mbeya vikiwa wazi baada ya wagonjwa kukimbia mara baada ya bomu  la machozi lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.
Mgonjwa  aliyekuwa akitibiwa Zahanati hapo akiwa amezirai baada ya bomu la machozi  lililopingwa na Jeshi la polisi kutua ndani ya Wadi.
Mganga Mkuu wa zahanati ya Ipinda jijini Mbeya Dk. Lute Kibopile ambaye pia ni  mmiliki wa zahanati hiyo akionesha Bomu la machozi lililopigwa na Jeshi la  polisi na kuingia ndani ya Wadi.
Mganga Mkuu wa zahanati ya Ipinda jijini Mbeya Dk. Lute Kibopile ambaye pia ni  mmiliki wa zahanati hiyo akielezea jinsi bomu la machozi  lilivyopingwa.
Muuguzi  akionesha eneo ambalo bomu la machozi lilipotua katika Zahanati ya Ipinda, eneo  la Mwanjelwa jijini Mbeya.
Mtaalamu  wa masuala ya maabara katika Hospitali ya UHAI BAPTIST Dk Ngangele Lisukile  akiwa ameshika kigae kilichodondoka mara baada ya bomu la machozi lililopingwa  hospitalini hapo majira ya saa 5:30 asubuhi.
PICHA  ZOTE NA: www.mbeyayetu.blogspot.com 
 
 
 
 
1 comment:
Sijui mwaka huu vupi huko Mbeya jamani.. Poleni sana wote wajeruhiwa na wengine wote.
Post a Comment