To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Sunday, 11 December 2011

AJALI ZAENDELEA KULITIKISA JIJI LA MBEYA...


WATU wawili wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea majira ya alasiri leo katika Mlima Nyoka maili chache kufika Mji mdogo wa Uyole nje kidogo ya Jiji la Mbeya na wengine zaidi ya 15 kujeruhiwa.
Ajali hiyo imehusisha gari la abiria aina ya Coaster  yenye nambali T755 BHA lililokuwa likitokea Rujewa wilayani Mbarali kuja Jiji Mbeya na Lori la mizigo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam lenye namba za usajili T 859 AGL kugongana pande zote za kulia za magari hayo
Hili ni paa la juu la basi aina ya coaster

Hili  ni Roli aina ya scania lililogongana na basi aina ya coaster

No comments: