To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com                                                 To Advertise on this Blog please Call: +255 (0)656 56 13 14 or Email: maishablog@yahoo.com

Wednesday, 11 January 2012

BAARAZA LA MITIHANI TANZANIA LAZINDUA HUDUMA YA KULIPA ADA KWA MKUTUMIA MASHINE ZA SELCOMPrograma Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma yakulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo.Programa Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam janaziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori

No comments: