Pichani hapo juu ni wadau wakitanzania waliokuwa wakisoma katika chuo kikuu cha Mysore nchini India,leo ilikuwa ni siku yao ya maafari katika michepuo na ngazi mbalimbali.Kwa niaba ya blog hii na wadau wengine kwa ujumla tunawapongeza sana kwa hatua hiyo na kuwatakia heri na mafanikio zaidi muendako.Pongezi za pekee ni kwako mwana libeneke mwenzetu mheshimiwa Amani Masue big up sana.Kwa picha na maelezo zaidi mtembelee kwenye libeneke lake.bonyeza hapa
Showing posts with label education. Show all posts
Showing posts with label education. Show all posts
Wednesday, 13 April 2011
Wednesday, 6 April 2011
Today in Management and development workshop in London!!
Ndani ya ukumbi tukijiandaa kuanza semina kuhusu utawala iliyochukua siku nzima na kuhusisha nadharia na vitendo ni ndani ya Hilton hotel London UK.
Juu na chini pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakiwajibika ukumbini hapo.
Kazi na dawa!! hapo ilikuwa break fupi,washiriki tulipata mda wa kupata kikombe cha chai na kubadilishana mawazo..
Baada ya semina iliyochukua siku nzima,hapa ilikuwa ni mda wa kutafuta picha za ukumbusho.
Subscribe to:
Posts (Atom)