Pichani hapo juu ni wadau wakitanzania waliokuwa wakisoma katika chuo kikuu cha Mysore nchini India,leo ilikuwa ni siku yao ya maafari katika michepuo na ngazi mbalimbali.Kwa niaba ya blog hii na wadau wengine kwa ujumla tunawapongeza sana kwa hatua hiyo na kuwatakia heri na mafanikio zaidi muendako.Pongezi za pekee ni kwako mwana libeneke mwenzetu mheshimiwa Amani Masue big up sana.Kwa picha na maelezo zaidi mtembelee kwenye libeneke lake.bonyeza hapa
No comments:
Post a Comment