Pichani ni mfano wa chui lililokuwa limetelekezwa barabarani katika maeneo ya southapton nchini Uingereza. Mdoli hu umepelekea watu waliouona kuita polisi ambao pia waliita kikosi maalumu cha wanyama poli, na kikosi cha askali wa anga wanaotumia helkopta ili kudhibiti mnyama huyo. Baada ya kazi ya mda mrefu na kupoteza ghalama nyingi ndipo walipogundua kuwa ilikuwa si chui bali na mdoli aliyetelekezwa barabarani hapo. Hadi sasa bado hajapatikana mmiliki halali wa mdoli huo na umechukuliwa na polisi kama mali isiyo na mwenyewe.
2 comments:
duniani kunamambo!
daaa so wamejiaandaje kuwakabili?
Post a Comment