hapo mimi nilipita getini tu, ndani sijawahi fika. miaka minne nilipita hapo kutoka bus stand kuu baada ya kushuka kutoka katika daladala kwenda mbeya day na kurudi kupanda basi kuelekea home iyunga.
Mie pia sijasoma hapo..nilisoma shule moja inaitwa sinde iko makunguru karibu na lilipokuwa soko zamani ila picha hii imenipa kumbukumbu kubwa sana ya nyumbani na najua wadau wengi pia watakuwa na kumbukumbu hiyo....asante sana kwa kunitembela kibarazani kwangu kaka Mwaipopo
4 comments:
Mwiko kusahau unakotoka!
Ni kweli kaka Manyanya msahau kwao ni mtumwa...wahenga walisema.
hapo mimi nilipita getini tu, ndani sijawahi fika. miaka minne nilipita hapo kutoka bus stand kuu baada ya kushuka kutoka katika daladala kwenda mbeya day na kurudi kupanda basi kuelekea home iyunga.
really nostalgic!!

Post a Comment