Ndugu wadau...Leo nipo safarini kutokea UK London kuelekea nyumbani Tanzania...naomba sana dua na sara zenu kwani ni safari ndefu sana.Nitajitahidi kuwapa yatayojiri njiani pamoja na picha mbalimbali pale nitapoweza.Asanteni
Mungu awe nawe wakati wote! na tunakutakia kila lililojema na baraka katika yote utakayofanya huko, Tunategemea mengi kutoka huko.Wasalimie sana wambiee sisi bado tupotupo.
4 comments:
Mungu awe nawe wakati wote! na tunakutakia kila lililojema na baraka katika yote utakayofanya huko, Tunategemea mengi kutoka huko.Wasalimie sana wambiee sisi bado tupotupo.
Safari njema Mkuu!
ukifika dar tu breki ya kwanza kariakoo kununua jenereta. karibu tz
Mungu akutangulie. Salamu kwa wote tunasubiri hapa hapa.
Post a Comment