Friday, 29 April 2011
Wednesday, 27 April 2011
Ngoma ya Wanyakusa!!
Hebu siku ya leo tujikumbushe Asili zetu kila mmoja anapoiangalia video hii na avute hisia za ngoma ya kwao.Hao ni wanyakyusa wakicheza ngoma maarufu Mkoani Mbeya inayojulikana kama Ligoma. Kuna faida mbalimbali ambazo zinatokana na kuchezwa kwa ngoma hizi kwa mfano ushirikiano,upendo na pia burudani kwa jamii husika.Haya wadau kazi kwenu burudani hiyo na wewe kama unayo ya kwenu na unataka iwekwe hapa kibarazani basi usisite kunitumia kwa email hii; maishablog@yahoo.com
Tuesday, 26 April 2011
KUMBUKUMBU MIAKA 47 YA MUUNGANO..TANGANYIKA NA ZANZIBAR!!!
Ni hayati mwalimu Julius K. Nyerere na hayati A.A. Karume waasisi wa muungano
Udongo wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar ukichanganywa na kuunda Tanzania moja.
Makubaliano na mkataba ukisainiwa baina ya viongozi wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar wakati wa tukio zima la muungano.
Ndugu wana blog sina hofu kuwa mnakumbuka moja siku muhimu na kihistoria ktk historia ya nchi yetu ambayo huazimishwa kila tarehe 26/04.Siku hii ni ile ambayo waasisi wa nchi mbili Tanganyika na Zanzibar kuamua kuunganisha nchi hizi na kuunda nchi moja ambayo ni Tanzania,
Kulikuwa na sababu lukuki ambazo waasisi hawa walizitumia ktk kuunganisha nchi hizi ikiwa na pamoja na Kibiashara,ulinzi,kijamii na pia kisiasa.lakini sasa hivi ikiwa siku ya leo muungano huu utatimiza miaka takribani 47 kumekuwa na malalamiko mengi toka pande zote mbili kuwa hakuna usawa katika maswala mbalimbali yahusuyo muungano na pia kumekuwa minongono kuwa muungano huu hauna faida na hivyo ni bora uvunjwe.Sasa ndugu wana blog naomba tujadili swala hili kama watu wenye upeo huku tukiangalia faida na pia mapungufu yake.
1.je kuna haja ya muungano kuendelea kuwepo?
2.Na kama haja ipo je tunafikiri nini kifanyike ili kurekebisha hitilafu zilizopo ktk muungano huo?

3. Je unadhani ni kweli kwamba hakuna usawa katika maswala yahusuyo muungano?
Naomba kuwakilisha......toa maoni yako juu ya hili kwani hayo hapo juu ni mawazo yangu tu...
Friday, 22 April 2011
PASAKA NJEMA NDUGU WADAU
Blog hii inawatakia kila la heri na ijumaa kuu njema wadau wote popote pale mlipo duniani. Natufanye yale yapasayo ili kuendana na maudhui ya siku yenyewe.
Thursday, 21 April 2011
UDOM WAGOMA TENA,WAANDAMANA KWENDA KWA PINDA
WANAFUNZI wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta na Mawasiliano (UDOM) jana waligoma kuingia madarasani na kufanya maandamano hadi Ofisi ya
Waziri Mkuu lengo la kufikisha madai yao hasa ya fedha za mafunzo kwa vitendo kutoka Bodi ya Mikopo.
Miongoni mwa wanafunzi hao ambao walizungumzia suala hilo walisema kuwa hawaridhiki na kiasi ambacho Bodi ya Mikopo ilichopendekeza cha sh. 350,000 badala ya sh. 850,000 ambazo wanafunzi hao walipendekeza kwa bodi hiyo.
Elias Lugwisha alisema awali wanafunzi hao walipeleka mapendekezo ya fedha zinazohitajika katika Bodi Mikopo kwa mujibu wa mahitaji ya kozi yao ambapo alisema kuwa waliwaomba sh. 850,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya kujifunzia ikiwemo kompyuta"SOMA ZAIDI GAZETI MAJIRA

Wednesday, 20 April 2011
Tuesday, 19 April 2011
INTERNSHIP OPPORTUNITIES!!
Our client in a manufacturing industry has internship opportunities for fresh
graduates in Accounting discipline. Should you have anyone you know with this
background, please send him/her to me with the CV. Please us the following email
address: customercare@rusoma.or.tz. The programme commences 1st of May, 2011, please
send your CV quickly between now and before Easter.
The positions are based in Arusha. There is flat pay of Tsh 300,000/- per month,
lunch and free transport to and from work. The programme will be for a period of six
month with a possibility to be offered a permenet position(depending on an
individual performance).
Do not loss this chance for your relatives and friends.
RS Management Services is there to serve us and our generation.

Regards
Management.
Management.
Monday, 18 April 2011
Gareth Bale and Jack Wilshere win top prizes at PFA Awards!!
Gareth Bale
Tottenham's Gareth Bale has been named as the Professional footballers Association Player of the Year. The 21-year-old has been in imperious form for Spurs in both the Baclays premier league and Uefa champion league this campaign, becoming one of the most talked about players in the world in the process.WAKENYA WATAMBA LONDON MARATHON!!!
Emmanuel Mutai
Wakenya hapo jana wameonyesha umahiri wao katika mashindano ya mbio yaliyofanyika hapa jijini London nchini uingereza kwa kufanikiwa kushika nafasi zote tatu za juu. Emmanuel Mutai ndiye aliyekuwa kinara kwa kufanikiwa kukimbia kwa masaa mawili, dakika nne na sekunde arobaini 2:04:40 .Mutai alivunja rekodi ya mkenya mwenziye bwana Sammy Wanjiru ambaye hakuweza kuwepo hiyo jana kwasababu ya kuwa majeruhi.
Hata hivyo pia mkenya mwingine alishika nafasi ya pili na huku mwingine akiambulia ya tatu. Ushindi huo wa jana unaashiria kuwepo kwa ushindani mkubwa sana katika mahindano ya Olympic ambayo yanatarajiwa kufanyika hapa nchini mapema mwakani.
Saturday, 16 April 2011
Friday, 15 April 2011
ZAMA ZA TIBA YA KIKOMBE ZAENDELEA!!!SASA NI SINGIDA.
Babu mchungaji mstaafu Ambilikile Masapila wa kijiji cha Samunge wilaya ya Loliondo mkoani Arusha, anazidi kupata changamoto zaidi baada ya mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari ya kata ya Mungumaji manispaa ya Singida Zubeda Nasoro (19) kutangaza kwamba ameoteshwa na Mwenyezi Mungu dawa ya kutibu magonjwa sugu matano.
Soma zaidi;MOBLOG
Thursday, 14 April 2011
HAVING A DREAM OF STUDYING ABROAD??COME AND TALK TO US TODAY!!
STUDENTS WISHES TO STUDY IN UK AND TANZANIA
We assist international students across the globe who wishes to study in Tanzania and the Students from Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda and Burundi who wish to study in the United Kingdom.
We offer consultancy services to Tanzanian and UK universities and educational institutions wanting to enter international markets.
Today we have an expert team of academic consultants and admissions staff.
It is on these principles that RUSOMA has earned its reputation as a Tanzania’s premier international student recruitment agency.
Our Online Application process is completely free of charge.
Our Online Application process is completely free of charge.
Just complete the below form, providing as much information as possible.
Within 24 hours, one of our professionally trained and friendly student counselors will contact you to discuss your application and to let you know what documentation you need to provide. We will also explain the academic and English language requirements for your requested program.
Take a Step in the Right Direction and apply today!!!
RUSOMA Services LTD has developed a very strong system in which we are in a position to develop a data base of the talented candidates whereby our clients (employers) will enjoy their talents.
In order to attain efficiency and in a very effective way our core objective; we have developed and adopt various strategies.
We are aware that, in Tanzania there is no any company which dealing with looking for field placement for colleges and universities students. At this point RUSOMA Services LTD is proud to be the first company in Tanzania to provide this service.
RUSOMA needs right candidates for the right positions. Through our system of recruiting field students we will be in a position to identify the right candidates whose can coupe with current global changes and work in multicultural environment. We are very committed to utilize our all assessment mechanism in order to achieve our core objectives.
This service is almost free of charge, however our customers are requested to contribute a token amount of TZS 20,000/= which will cover stationeries and communications. Please feel free to deposit at Kenya Commercial Bank Account No.3300449162 and then email to us your pay in slip or make a payment by using M-Pesa via 0767 500049.
If you are talented, capable and determine student do not hesitate to forward with confidence your detailed CV wherein you should specify which regions and districts of your preference to be attached, and full contacts of two referees.
We do not encourage students to visit our office without appointment. All applications should be made on line and our officer will respond to your application within twenty four hours.
STUDY IN THE HEART OF LONDON..
LONDON SCHOOL OF COMMERCE AN ASSOCIATE COLLEGE OF "THE UNIVERSITY OF WALES, INSTITUTE OF CARDIFF" & SCHOOL OF BUSINESS AND LAW AN ASSOCIATE COLLEGE OF "THE UNIVERSITY OF GLOUCESTERSHIRE"
POSTGRADUATE PROGRAM (1 year)
MBA (International Business)
MBA (Marketing and Finance)
MSc (Accounting and Finance)
MSc (Management Consultancy)
MSc (Information Technology)
MSc (Tourism Management)
MSc (Hospitality Management)
*Special fees £3950 for the entire program
UNDERGRADUATE PROGRAM (2years)
BA (Hons) Business Studies
BSc (Business Computing)
BSc (Information Technology)
BSc (Hons) Accounting
*Special fees £6950 for the entire program
Admissions open for: FEBRUARY – APRIL – JUNE – AUGUST – OCTOBER – NOVEMBER
Rusoma will provide free of charge visa process consultation including documentation.
ACCOMMODATION
We are proud to announce that we have developed a strong partnerships with companies deals with accommodation arrangements and landlords for those who will choose to homestay (Most of the students prefer homestay)
EMPLOYMENT AGENCIES
Rusoma have developed a close relationship with some recruitment agency in London, our customers will be connected free of charge with these agencies.
Contact:
Website:www.rusoma.ac.tz
E-mail: students@rusoma.or.tz
Tel: +255 767 500049 or +255 657 210440
Wednesday, 13 April 2011
WADAU WALA NONDOZI NCHINI INDIA!!!
Pichani hapo juu ni wadau wakitanzania waliokuwa wakisoma katika chuo kikuu cha Mysore nchini India,leo ilikuwa ni siku yao ya maafari katika michepuo na ngazi mbalimbali.Kwa niaba ya blog hii na wadau wengine kwa ujumla tunawapongeza sana kwa hatua hiyo na kuwatakia heri na mafanikio zaidi muendako.Pongezi za pekee ni kwako mwana libeneke mwenzetu mheshimiwa Amani Masue big up sana.Kwa picha na maelezo zaidi mtembelee kwenye libeneke lake.bonyeza hapa
HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAKATI WA MISA YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 27 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA KUU LA MT. PAULO WA MSALABA MJINI DODOMA TAREHE 12 APRILI 2011
waziri mkuu mh.Mizengo Pinda.
Siku kama ya leo, tunapokutana kuadhimisha Kumbukumbu ya Kifo cha Mpendwa wetu, Mzee Edward Moringe Sokoine inakuwa vigumu sana kupata maneno mazuri ya kusema. Inakuwa vigumu kwa sababu ukweli hatuko naye tena, lakini kwa njia moja ama nyingine tunaamsha hisia zetu na upendo wetu tuliokuwa nao kwake na ambaye sasa ametutangulia mbele ya haki.
Faraja ninayoipata Mimi kama Pinda, kwa siku ya leo tunapoadhimisha kumbukumbu kama hii ni kuwa bado huyu mwenzetu tuko naye kimawazo, kiakili na kubwa zaidi kiroho.
Vilevile, kwa mawazo yangu, na kwa kuamini kwangu, siku ya leo ni muhimu kwa kuwa inatukumbusha kuwa sote hapa duniani ni wapita njia na siku moja tutaungana na waliotutangulia mbele ya haki huko Mbinguni.
Leo tunatimiza miaka27 tangu Marehemu Edward Moringe Sokoine atutoke gafla kwa ajili ya gari. Mtakumbuka kwamba Marehemu Sokoine alikuwa Waziri Mkuu kwa vipindi viwili tofauti. Alikuwa Waziri Mkuu wa Tatu wa Tanzania baada ya Marehemu Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere na Marehemu Mzee Rashidi Mfaume Kawawa.
Alianza kuwa Waziri Mkuu tarehe 13 Februari 1977 hadi 7 Novemba 1980. Baadae tena aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu kwa kipindi cha pili tarehe 23 Februari 1983 hadi 12 Aprili 1984 alipofariki kwa ajali ya gari pale Wami Dakawa, Morogoro.
Ninaamini aliteuliwa kwa vipindi viwili tofauti kutokana na imani kubwa aliyokuwa nayo Mheshimiwa Rais kwake. Imani hiyo inatokana na ukweli kuwa alikuwa mchapakazi kweli kweli, mwaminifu, mtetezi wa wanyonge na msimamizi wa kweli wa maendeleo ya Taifa hili.
Tunapomkumbuka siku ya leo, ni dhahiri tunakumbuka Mtu aliyejitolea kwa hali na mali kupambana na Ujinga, Maradhi na Umaskini. Alipigana kufa na kupona kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo.
Tunamkumbuka sana Mzee Sokoine kwa uchapaji kazi wake na utetezi wa Wanyonge. Atakumbukwa milele kwa jinsi alivyokuwa tayari kutetea maslahi ya wanyonge na kusimamia ujenzi wa Uchumi wa Tanzania.
Atakumbukwa siku zote kwa juhudi zake za kujenga Jamii ambayo inachukia rushwa, Jamii inayochukia Wahujumu Uchumi na Jamii inayochukia Walanguzi. Alipambana na Watu ambao walikuwa wanahodhi bidhaa zisiwafikie Watu wa chini kwa bei halali. Ninakumbuka maneno yake aliyoyasema kwamba “Kama Serikali ilikuwa likizo sasa likizo imekwisha”. Kwa maana hiyo aliwabana Walanguzi na Wahujumu Uchumi na hatimaye wakasalimu amri.
Marehemu Sokoine alikuwa muasisi wa Biashara huria Nchini wakati tukiwa kwenye itikadi ya ujamaa. Aidha, alikuwa na wazo zuri la kuanzisha usafiri wa Daladala Dar es Salaam. Wakati wake Mabasi makubwa ya Ofisini yalitumika kubeba Watu Jijini Dar es Salaam;
Kutokana na juhudi zake, ndiyo sababu kumbukumbu zake ziko katika maeneo mengi Nchini. Moja ya kumbukumbu hizo ni pamoja na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine kilichokoMorogorokwa jina laSokoine University of Agriculture. Marehemu Sokoine alikuwa mpenzi mkubwa wa Kilimo. Alipenda Kilimo cha Plau na Matrekta ili kuondokana na Kilimo cha Jembe la Mkono.
Marehemu Sokoine alishiriki kuanzisha dhana ya Nguvu Kazi ili kumfanya kila Mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi kufanya hivyo. Nakumbuka alitoa mshahara wake asilimia 50 kutunisha Mfuko wa Rais wa Nguvu Kazi. Mfuko ambao ulisaidia Watu wa kipato cha chini;
Marehemu Sokoine alikuwa Kiongozi wa kipekee. Tunamkumbuka kwa kile alichoamini kwamba “Uongozi ni Dhamana”. Kwa maoni yake aliamini kwamba, kuwajibika kama Kiongozi ni kukubali kwa hiari dhamana ya Uongozi unayopewa ama kwa njia ya kuomba kwa kura au kwa kuteuliwa Kikatiba au Kisheria. Aliamini kuwa Kiongozi lazima akubali kutumia dhamana ya uongozi aliopewa kwa maslahi ya umma na kwa Taifa kwa ujumla;
Kwa misingi hiyo, Marehemu Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukubali Kanuni za Chama chake. Aliamini kwamba Kiongozi hatatumia dhamana ya madaraka yake kujinufaisha mwenyewe binafsi au Mtu mwingine yoyote, bali Taifa zima;
Marehemu Sokoine aliamini kuwa Kiongozi daima atakuwa ni mtiifu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na atamshauri kwa hekima na kwa mujibu wa Sheria zilizowekwa;
Marehemu Sokoine, pamoja na kupenda kusimamia maendeleo ya Nchi yetu, pia alikuwa Mcha Mungu-Mtu wa Kiroho, mwenye kupenda Dini. Mtu mwenye kupenda Watu. Mtu wa Imani. Wote sisi ni mashahidi kwamba Marehemu Sokoine alikuwa Mtu wa Mungu na ili kudhihirisha hili siku aliyopata ajali alipita na kusali katika Kanisa hili kabla ya kuanza kwa safari ya kuelekea Dar es Salaam. Hiyo ilikuwa ibada yake ya mwisho akiwa hai kabla ya kufikwa na mauti.
Marehemu Sokoine atakumbukwa kwa mengi ambayo kwa kweli tukiyaongelea hapa hatutayamaliza;
Ninachoweza kusema, leo tunamkumbuka Mtu ambaye kwetu sisi Watanzania, ni kielelezo bora cha utumishi wa watu, kielelezo cha kujituma, kielelezo cha upendo, kielelelzo cha kupenda haki kielelezo cha kupigania wanyonge na kielelezo cha kumcha na kumtumikia Mungu
Marehemu Sokoine amefanya mengi mazuri ambayo tunayakumbuka leo. Hebu tujifunze kutoka kwake kwamba“The good we do today becomes the happiness of tomorrow” ikimaanishwa kwamba -Mazuri tunayoyafanya leo, huwa furaha ya kesho. Tumuige kwa kufanya mazuri ambayo yatakumbukwa daima na vizazi vijavyo.
Viongozi mliojumuika nasi hapa leo na
Ndugu Waumini;
Nimalizie kwa kuungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki wote wa Familia ya Marehemu Mzee Edward Moringe Sokoine kuendelea kumwombea kwa Mwenyezi Mungu ili ampumzishe mahali Pema Mbinguni. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. AMINA
imetolewa na ofisi ya waziri mkuu.
MDAU NA TAFAKARI YAKE YA LEO!!! JE YULE UMPENDAYE NDIYE?
Moyo wa mtu ni kichaka na watamanianao huonekana wengi bali wapendanao ni wachache na hawajulikani. Hebu fikiria leo Mungu akisema kila moja asimame na ampendaye Je? Wewe utasimama na nani? Na huyu umdhaniaye ukimkuta amesimama na ampendaye utafanyaje? Haaaaaa…..!! Unacheka?Kwa habari hii na nyingine nyingi mtembelee kwenye libeneke lake la maisha na mafanikio kwa;kubonya hapa
MAN UNITED YATINGA UEFA NUSU FAINALI KWA KISHINDO
Pichani ni baadhi ya wachezaji wa man united wakipongezana baada ya J. Park kufunga gori la pili ambalo liliondoa kabisa matumaini ya ushindi kwa wana Chelsea na hivyo kufanya machester united kutinga hatua ynusu fainali.Kwa habari zaidi na picha tembelea man u website;bofya hapa
Tuesday, 12 April 2011
CCM WASHANGILIA MAKAMBA KUVULIWA UKATIBU!!
WAFANYAKAZI wa CCM Makao Makuu Dodoma wamejipongeza kwa kula na kunywa kwa kile wanachosema ni kufurahia kuondolewa ofisini kwa
aliyekuwa Katibu Mkuu, Bw. Yusufu Makamba jambo walilokuwa wanalisubiria kwa muda mrefu.
Baadhi ya wafanyakazi hao waliokutwa na Majira katika maeneo mbalimbali ya starehe mjini Dodoma wakizungumza bila kutaka majina yao yaandikwe gazetini, walisema kwamba furaha yao hiyo imenogeshwa zaidi na kuondolewa kwa sekretarieti nzima ambayo ilikuwa mzigo mkubwa, sio kwa chama tu bali pia kwa watumishi wa chama.
Walisema uwajibikaji wa watumishi ulipungua kutokana na maamuzi binafsi ya Bw. Makamba ambayo kila mara yalitolewa bila kuzingatia taratibu za utumishi na ajira. Kwamba baadhi ya watumishi walihamishwa kibabe kwa amri yake kwa sababu binafsi.Soma zaidi ;kandamiza hapa

WAZIRI MKUU WA ZAMANI E.SOKOINE AKUMBUKWA LEO!!
Hayati Edward Moringe Sokoine 1938-1984
WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, marehemu Edward Sokoine, atakumbukwa Jumanne hii kwa ibada maalumu ya kumwombea kuadhimisha miaka 27 tangu kufariki kwake, Aprili 12, 1984. Kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa zamani ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, katika siku hii, kumeandaliwa ibada maalumu ya kumwombea Hayati Sokoine katika kanisa alilosali mara ya mwisho kabla ya kifo chake mjini Dodoma.Soma zaidi;bofya hapa
CCM YARIA NA MAFISADI NDANI YA CHAMA,YAWAPA MIEZI MITATU KUJIUZURU!!
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa miezi mitatu kwa wanachama wa chama hicho wanaotuhumiwa kwa rushwa na ufisadi wajiuzulu, wakikaidi watawajibishwa.
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete, amesema, wanaCCM hao wakiwemo vigogo wanapoteza haiba ya CCM katika macho ya Watanzania.
Kwa muda mrefu, wanachama kadhaa wa CCM wamekuwa wakitajwa kuhusika katika vitendo vya rushwa na wakahusishwa kwenye kashfa kadhaa ikiwemo ya uzalishaji wa umeme wa dharura ya kampuni hewa ya Richmond, kashfa ya Dowans, kashfa ya ununuzi wa rada, na kashfa ya ulipaji wa madeni ya nje kupitia akaunti ya EPA Benki kuu Tanzania (BOT) kupitia kampuni ya Kagoda.
Kwa mujibu wa Kikwete, Halmashauri Kuu ya CCM imezungumza na watuhumiwa hao wakati wa mkutano uliomalizika jana usiku mjini Dodoma, na wameelewana.
“Tusionekane kuwa ni chama ambacho vitendo vya rushwa hatuchukizwi navyo” amesema Kikwete wakati anafunga mkutano huo wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM ulioanza juzi asubuhi.
Amesema, CCM imeanza kuchukua hatua, wanaotajwa kuhusika kwenye ufisadi na rushwa wanafahamika, hivyo wasionewe haya, wao wenyewe wawajibike, wasipofanya hivyo ‘wataoneshwa ulipo mlango’.
Katibu mpya wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye amesema, chama hicho kimeamua kuwashughulikia WanaCCM wala rushwa na mafisadi.
“Haogopwi mtu, na Mwenyekiti alisema, tumekusudia, tunakwenda kujivua gamba” alisema Nnauye jana usiku wakati anazungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Halmashauri Kuu kwenye jengo la White House mjini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, John Chiligati amesema, watuhumiwa hao wanapaswa kujiuzulu kwa kuwa wanatajwa vibaya kwenye jamii, hivyo wawajibike hata kama hakuna ushahidi.
“Tumewaambia wao wenyewe wapime, wachukue hatua za kuwajibika” amesema na kubainisha kuwa wasipotekeleza waliyokubaliana, CCM itawawajibisha hivyo wasisubiri kuoneshwa ulipo mlango.
Chiligati amewaambia waandishi wa habari mjini Dodoma kuwa, kuanzia sasa, CCM ipo makini kupambana na vitendo vinavyoleta sura mbaya katika chama hicho na amewaambia watuhumiwa kuwa “ usiulize ushahidi upo wapi”
Kikwete ameishukuru iliyokuwa Kamati Kuu ya CCM kwa kukubali kujiuzulu kwa maslahi ya chama hicho kwa kuwa wameonesha wanajali maslahi ya wanachama.
Ameishukuru Kamati Kuu mpya yenye wazee na vijana wasiozidi umri wa miaka 35, na ameishukuru pia iliyokuwa Sekretarieti ya CCM iliyojiuzulu kwa ujasiri wao na kujali maslahi ya chama chao.
Kikwete amesema, anaamini kwamba, Kamati Kuu mpya itakidhi matarajio ya kuijenga upya CCM, na amesema, kuwa miongoni mwa wajumbe ni wakongwe, wawe kama panga la zamani, makali yale yale.
“Tumekubaliana, mwenzetu anayelegalega tunamwambia, mwenzetu unalegalega” amesema Kikwete akimaanisha kuwa, kuanzia sasa hakuna kuoneana haya CCM.

Toka gazeti la Habari leo
SURA MPYA YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
SEKRETARIETI KUU, Katibu mkuu Wilson Mkama, Mweka Hazina CCM taifa Mwigulu Lameck Nchemba,Katibu Itikadi Mwenezi wa CCM taifa Nape Moses Mnauye,Katibu Organaizesheni NEC Bi Asha Abdullah Juma,Naibu Katibu mkuu CCM Zanzibar vuai Ali Vuai na January Makamba uhusiano Kimataifa
WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU
Anna Abdalah
Peter Kisumo
Mwigulu Nchemba
Januari Makamba
Aly Juma Shamhuna
Wilson Mukama
Emmanuel Nchimbi.
WANAOINGIA KAMATI KUU
Pindi Chana
Abdulrahman Kinana
Zakhia Hamdan Meghji
Abdalah Kigoda
Steven Wasira
Costansia Buhiye
William Lukuvi
Dk. Hussein Ali Mwinyi
Dk. Maua Daftari
Samia Suluhu
Shanmsi Vuai Nahodha
Omary Yusuf Mzee
Prof. Makame Mbarawa
Mohamed Seif Khatibu
KUTOKA MJENGWA BLOG
Saturday, 9 April 2011
TAARIFA YA MSIBA MBEYA
MCHUNGAJI ANDONGOLILE MWAMUGOBOLE WA KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA,AMEFARIKI TAREHE 6 / 4 / 2011 KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA MAZISHI YATAFANYIKA TAREHE 11 / 4 /2011 SIKU YA JUMATATU KATIKA USHARIKA WA BETHERI JIMBO LA MBEYA (SAE)BWANA ALITOA NA BWANAAMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE ;AYUBU 1:21
MANCHESTER UNITED YAZIDI KUPAA KILELENI MWA LIGI YA UINGEREZA!!
MAN U 2-FULHAM 0
Aaron Hughes baadae akaokoa krosi iliyochongwa na Nani na ukampitia Antonio Valencia, aliyefunga kwa kichwa na kuipatia Manchester United bao la pili.
Tomasz Kuszczak mlinda mlango wa Manchester United alifanya kazi nzuri kuokoa mkwaju wa Eidur Gudjohnsen aliyeingia kipindi cha pili, huko mlinda mlango wa Fulham Mark Schwarzer naye akainyima Manchester United kwa kuokoa mkwaju wa Darron Gibson.
Kwa matokeo hayo sasa Manchester United wanazidi kuongoza kwa kujikusanyia pointi 69.BBC
Friday, 8 April 2011
HAPPY BIRTHDAY MDOGO WETU ERIC MWAISANGO!!!
Mtoto Eric Mwaisango katika pozi.
Leo tarehe 8/04/2011 mtoto wa kaka yetu na mwana libeneke wa mbeya yetu kaka Mwaisango anatimiza miaka 6ya kuzaliwa, tunampongeza sana kwa malezi mazuri na pia kumtakia kila la kheri katika kumwezesha mtoto Eric katika kutimiza ndoto zake. Happy birthday to youuuuuu Eric!!
kwa picha na habari zaidi tembelea; mbeyayetu.com
Wakenya waishitaki serikali ya Uingereza!!
Kundi hilo linalodai fidia kupitia Mahakama kuu, linasema kuwa walishambuliwa kati ya mwaka 1952 na 1961 na maofisa wa utawala wa mkoloni Uingereza.
Wakili wa watu hao Martyn Day anasema kuwa, "mateso yaliyowafika yaliwaacha wakiwa na madhara ya kudumu maisha yao yote,"
Serikali inasema kuwa tangu mateso yanayodaiwa kufanyiwa watu hao ni muda mrefu. Kwa hiyo haiwezi kuwajibishwa.
Kesi hii imewasilishwa na wanaume watatu na mwanamke mmoja, wote wakiwa na umri uliozidi miaka 70.
Wakili wao anasema kuwa watu hawa wanawakilisha jamii kubwa ya wenzao nchini Kenya walioteswa wakati vuguvugu la kupigania Uhuru lilipoanza dhidi ya utawala wa kikoloni katika muongo wa 50.
Wanasema kuwa washukiwa waliofungiwa ndani ya kambi walikabiliwa na mfumo wa mateso kwa tuhuma za kushiriki katika matukio ya uasi.
Akisimama kidete na wateja wake kwenye milango ya Mahakama kuu, Bw.Day alisema kuwa walikabiliwa na vitendo visivyoelezeka kutoka kwa maofisa wa Uingereza katika miaka ya 1950 na 1960, ikiwa ni pamoja na kukatwa uume, ubakaji na kupigwa mara kwa mara.
Kimsingi wanachokiomba ni kutambua yaliyowafika na kuwaomba radhi na msamaha. Ni wajibu wa serikali hii kuona kwamba watu hawa wanatazamwa kwa heshima na hadhi inayostahiki.
Wizara ya mashauri ya kigeni inasema kuwa inaelewa hisia kali ambazo hujitokeza unapotaja suala la Mau Mau na kwamba wakati huo ulisababisha madhila siyo tu kwao bali pia kwa pande zote zilizohusika.
Licha ya kauli kama hiyo, Wizara ya mashauri ya kigeni inasema kuwa Uingereza imenuwia kutetea kesi hizi, na kutoa hoja kuwa serikali haiwezi kuwajibika.
Uchunguzi kuhusu kesi hii umegundua faili elfu kadhaa kutoka utawala wa zamani wa Uingereza, zikiwemo pia kuhusu Mau Mau habari ambazo zitawekwa wazi na wizara hiyo kwa kila mtu kuweza kujionea.
Vuguvugu la Mau Mau lilianzia Kenya ya kati mnamo miaka ya hamsini kwa lengo la kurejesha ardhi iliyotekwa na mamlaka ya Ukoloni wa Uingereza.
Wanahistoria wanasema kuwa vuguvugu la Mau Mau lilisaidia mno kwa Kenya kupata Uhuru wake.
Hata hivyo, ni bayana kuwa ghasia iliwafika wahusika wa pande zote, na wapiganaji wa Mau Mau nao wamelaumiwa kwa uhalifu dhidi ya wakulima wazungu pamoja na vita vyao vikali dhidi ya vikosi vya Uingereza kupitia miaka ya 50.
Tim Simmonds, ambaye alijiunga na kikosi cha ziada cha polisi nchini Kenya mnamo mwaka 1954, anasema kuwa wapiganaji wa vuguvugu hilo nao wanapaswa kuomba msamaha.
Simmonds ameiambia BBC kuwa "hakuna mtu anayewambia hawa Mau Mau, mnadai fidia kutoka kwa serikali ya Uingereza, sawa, lakini kwanini nyinyi hamuwaombi msamaha watu wa kabila lenu Wakikuyu wapatao10,000, ambnao mliwachinja?"
Aliongezea kusema kuwa ingawa hakupenda jinsi wapiganaji wa Mau Mau walivyotunzwa kambini, hana majuto ya kupambana nao.
"ukweli ni kwamba walivuka mipaka ya utu kwa kuchinja ovyo raia. Hakika walistahili walichokipata."
Tume ya haki za binadamu ya Kenya imesema kuwa wa Kenya 90,000 walinyongwa, kunyanyaswa au kujeruhiwa huku wengine 160,000 kufungwa katika mazingira ya kutisha.
Ripoti rasmi iliyochapishwa mwaka 1961ilibainisha kuwa zaidi ya Wafrika 11,000 wengi wao wakiwa ni raia pamoja na walowezi 32 wazungu waliuawa kipindi hicho.BBC

Wednesday, 6 April 2011
Today in Management and development workshop in London!!
Ndani ya ukumbi tukijiandaa kuanza semina kuhusu utawala iliyochukua siku nzima na kuhusisha nadharia na vitendo ni ndani ya Hilton hotel London UK.
Juu na chini pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakiwajibika ukumbini hapo.
Kazi na dawa!! hapo ilikuwa break fupi,washiriki tulipata mda wa kupata kikombe cha chai na kubadilishana mawazo..
Baada ya semina iliyochukua siku nzima,hapa ilikuwa ni mda wa kutafuta picha za ukumbusho.
Monday, 4 April 2011
HAPPY BIRTHDAY DADA NEEMA!!
As we observe your birthday now,
Your cake and gifts don’t matter much.
These common things aren’t really you,
Ribbons, paper hats and such.
Your cake and gifts don’t matter much.
These common things aren’t really you,
Ribbons, paper hats and such.
We celebrate a person who
Brings happiness to everyone,
Someone who gives more than she gets,
And fills our lives with joy and fun.
So Happy Birthday, and many more!
We hope you make it to a hundred and two,
Because we cannot even dream
What life would be like without you.
kwa pamoja tunasema tunakupenda sana dada Neema na tunakutakia
" HAPPY BIRTHDAY TO YOUUUUUUU!!
Saturday, 2 April 2011
Man utd came from behind to win over West Ham!!
West Ham 2 United 4
Wayne Rooney struck a stunning second-half hat-trick as United roared back from 2-0 down to claim a pulsating Barclays Premier League win at Upton Park.Mark Noble converted a pair of first-half penalties for West Ham to seemingly deal the Reds’ title hopes an untimely setback. United had bossed the match despite Noble’s double, however, and deservedly overturned the scoreline in the second period.
Rooney curled home a magnificent long-range free-kick, thundered in a superb leveller and converted a penalty in a breathless 15-minute spell, before substitute Javier Hernandez turned home a late clincher to cap another rousing fightback from the Reds.
Watching from the stands in the second instalment of his touchline ban, Sir Alex Ferguson will again wonder how his side insist on putting all their followers through the wringer, before switching his attention to Wednesday’s Champions League trip to Stamford Bridge.
With the visit to Chelsea looming, Nani, Dimitar Berbatov and Chicharito all started on the bench, while Edwin van der Sar was a precautionary absentee with a minor groin injury. Sir Alex's defensive selection was preordained, with Wes Brown, John O’Shea and Rafael all injured and Jonny Evans starting his three match ban. Fabio and Patrice Evra started at full-back, flanking a central-defensive partnership of Chris Smalling and Nemanja Vidic.
source;www.manutd.com
Subscribe to:
Posts (Atom)